Artist: Q-Tah C ft. Allahola
Song: Ocha
Chorus
sukari imepanda siwezi
ugali imepanda siwezi
sukuma hakuna siwezi
maisha ni ngumu siwezi
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
sukari imepanda siwezi
ugali imepanda siwezi
sukuma hakuna siwezi
maisha ni ngumu siwezi
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
Verse 1 (Q-Tah C)
Mama Mboga tumekosana
sababu gani zimejazana
mtu wa stima tulipigana
usiniambie landlord ameniona
ndio maana nimeamua
ndio maana nimeamua
ndio maana nimeamua
narudi narudi narudi
Chorus
ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
bei ya mkate juu juu juu juu juu
bei ya mafuta juu juu juu juu juu
kodi ya nyumba juu juu juu juu juu
kila kitu juu juu juu juu juu
ndio maana nimeamua
ndio maana nimeamua
ndio maana nimeamua
narudi narudi narudi
Chorus
ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
Verse 2 (Alahola)
nilikuwa na-buy mkate kambao githi
suge quarter siku hizi nachapiwa ni salasini
mafuta ya Kimbo nayo bana ni hamsini
sabuni ya Panga kwani siku hizi ni ya matajiri
nilikuwa nakunywa chai ya maziwa
Blue Boy ya kadogo ilikuwa ni lazima
saa hii napunguza jo na strungi bila
na hii life mazee naona ni ka inanishinda
daily nilikuwa namanga sembe ya packo
saa hii namenyana na oregorego jo majo
nilikuwa na-stay kwa keja ya mawe
saa hii na-stay kwa keja ya matope Kawangware
nilikuwa nachinjia mashore wasupa
saa hii na-group na mangeri mboga wa kupunguza
yani ata siezi buy ata motush
pia maorenge yani siezi kunywa supu
manze jo ni vile jo
pesa onge o
tire na beca jo
pesa onge
yaye choke
unajua narudi wapi
Chorus
ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
...
sukari imepanda siwezi
ugali imepanda siwezi
sukuma hakuna siwezi
maisha ni ngumu siwezi
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
narudi ocha, ocha
| < Prev | Next > |
|---|













