KenyanLyrics.com

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home F Fudge Winski lyrics Clande wa Mtaa


Clande wa Mtaa

User Rating: / 0
PoorBest 

audio_icon_leftLISTEN TO 'CLANDE WA MTAA'audio_icon_right

Artist Fudge Winski
Song Clande wa Mtaa
Year 2009
Producer Shamz
Record Label Shamzmagic Records

Intro

Ok, Ni FU baby, D to the G na E
Skiza Hii,
Ni story na maclande wa mtaa mzeiya;

Verse 1
Niko stage ya 14 nataka kufika town,
Juvenile ishafika naingia naketi down,
Ku-turn left nacheki dame ame-smile ako proud,
Inabidi nimlenge juu mfukoni nina pound,
Nafeel tipsy juu mtaani nilishajiseti,
Pili mbili, tusker malt, sambuka na whitecup,
Napata syke ya kum-vybe nam-holla wassup?
Anajidoo ako shy anajilalia laps,
Kucheki mbota hauskii jo ni 8pm,
Besty yangu ananicall ako kwa ATM,
Ananishow tupatane kwa stage ya Double M,
Na nisiende peke yangu ju pia ye ana dame,
Nashow yengs sa ni vipi, si uwache nitoe mpango,
Anawika sina prob labda tu nifike home,
Kufika tao mi nashuka na namngoja kwa mlango,
Tunapatana na besty anasema tufike tacos.

Chorus
Ana features za power, Ni clande wa mtaa,
Akitembea ako sawa, ni clande wa mtaa,
Nikimpeleka kahawa, ni clande wa mtaa,
Sina doubt atagawa, ni clande wa mtaa, Heyyyyy

Hook
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,

Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,

Verse 2
Ok, 1st things 1st, chupa mbili za pilsner,
Nikuzichapa flash na kumada hiyo bizna,
Kasha kupata syke ya ku-vybe malkia
Dakika ka mbili ashanipatia jina,
Haiya ni 10pm na doh ishanikatikia,
Besty yangu ako steam jo, ashajitapikia,
Siezi jistres na story za kujitakia,
Naacha na yee narudi kwa malkia,
Haiya, clande ako seti anadai Smirnoff ice
Ati match box scafe, tot mbili za vice
Me najiset naps for the rest of the night
Ananilalia laps namshika vi-tight,
Before the end of the night ananishow ashanifeel
Tunaeza enda home,its no big deal,
Eish, kufika kwa gate, hauskii ashazivua,
Kuruka kwa bed, me namnyeshea ka mvua,

Chorus
Ana features za power, Ni clande wa mtaa,
Akitembea ako sawa, ni clande wa mtaa,
Nikimpeleka kahawa, ni clande wa mtaa,
Sina doubt atagawa, ni clande wa mtaa, Heyyyyy

Hook
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,

Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,

Verse 3
Naamka asubuhi nina hangdown kibao,
Sikumanga last night manze jo nina ubao,
Nasorora mpaka fridge hakuna dish kwa hao,
Nina mbao mfukoni labda nibuy mandao,
Chikidi ashaamka namuamkua ‘vipi shikoh’
Anashower after that tunakula naye breako,
Kucheki phone hauskii anawika hana credo,
Anataka kwenda home hataki pandee na ma-paro,
Kumpiga push aki yani hauskii nilishangaa,
Ananishow next gate ndiko ye anakaa,
Nilidhani ye stranger kumbe ni clande wa mtaa,
Nikahug vi-tight kisha nikakaa masaa,
Ninge-risk kufika kwao ju mbuyu wake ni balaa,
Si angesema hanijui aniache kwa mataa,
Mbuyu wake jo mlevi na ana-like chapaa,
Angenishow twende out nim-buyie kadhaa.

Chorus
Ana features za power, Ni clande wa mtaa,
Akitembea ako sawa, ni clande wa mtaa,
Nikimpeleka kahawa, ni clande wa mtaa,
Sina doubt atagawa, ni clande wa mtaa, Heyyyyy

Hook
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,

Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,
Me namfyeka tu, hahaaa hahaa
Ye anacheka tu, ha ha ha ha ha,



Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Digg! Reddit! Del.icio.us! Google! Live! Facebook! StumbleUpon! MySpace! Yahoo! TwitThis
Comments
Add New
+/-
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.
 
KenyanLyrics.com