Kenyan music lyrics

  • fnt+
  • fnt=
  • fnt-
Home G Gun B lyrics Napenda

Napenda

Napenda

(0 votes, average 0 out of 5)

Artist: Napenda
Song: Pilipili and Gun B  

Chorus

Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana (ni mrembo sana)

Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (ni msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana

Verse 1
Nilikuwa kwa matatu fifty eight drama
Pale tongoya karibu na ludhuli
Kaingia mwana dada msichana mrembo
Toka jericho angalia dada
Nikampa talk akanipa more
Sikumpa doo hakutaka doo
Nikampa flow akataka show
Nikampa show akanipa love

Chorus
Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana (ni mrembo sana)

Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (ni msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana

Verse 2
Cause she's my love maker
My care taker my heart taker
No matter who can have talk about
Cause she's my filament my most excitement
I take my movement, haa and I come again


Cause she's my love maker
My care taker my heart taker
No matter who can have talk about
Cause she's my filament my most excitement
I take my movement, haa


Chorus
Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana (ni mrembo sana)

Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (ni msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana

Verse 3
Ogopa Djs inna di studio (studio)
Rhymes tukiangusha in style-o (style-o)
Madame tukiwapa zi flow how
Wakiimba what how gosh


Ogopa Djs inna di studio (studio)
Rhymes tukiangusha in style-o (style-o)
Madame tukiwapa zi flow how
Wakiimba what how gosh


Nilikuwa kwa matatu fifty A drama
Pale tongoya karibu na ludhuli
Kaingia mwana dada msichana mrembo
Toka jericho angalia dada
Nikampa talk akanipa more
Sikumpa doo hakutaka doo
Nikampa flow akataka show
Nikampa show akanipa love

Chorus
Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana (ni mrembo sana)

Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (ni msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana

Outro
Ogopa Djs inna di studio (studio)
Rhymes tukiangusha in style-o (style-o)
Madame tukiwapa zi flow how
Wakiimba what how gosh

Ogopa Djs inna di studio (studio)
Rhymes tukiangusha in style-o (style-o)
Madame tukiwapa zi flow how
Wakiimba what how gosh


Chorus
Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana (ni mrembo sana)

Napenda penda (nani)
Msichana mmoja (ni msichana mmoja)
Na jina lake (nani)
Ni mrembo sana



Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Digg! Reddit! Del.icio.us! Google! Live! Facebook! StumbleUpon! MySpace! Twitter!
Comments
Add New
+/-
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.
 
KenyanLyrics.com


Follow KenyanLyrics on Twitter