Kenyan music lyrics

  • fnt+
  • fnt=
  • fnt-
Home N Nonini lyrics Ngoma Yako

Ngoma Yako

Ngoma Yako

(0 votes, average 0 out of 5)

audio_icon_leftLISTEN TO 'NGOMA YAKO'audio_icon_right

Artist: Nonini
Song: Ngoma Yako
Album: Hanyaring Game
Year: 2004
Producer: So Severe
Record Label: Esoteric Records
Language: Kiswahili

Verse 1

stage dakika tano ndio zimebaki tu nipande
tumbo inatetemeka ni ka nimekula sabuni ya kipande
sioni ka leo ntatoboa
sijaingia na kwa crowd kuna mtu ashanichongoa
nataka niachwe pekee yangu kwanza niende nikavute kitu
ndio hii stage nikipanda kuangalia nisimwone mtu
nani alisema after kula ndondo lazma ushute
nani alisema kuwa MC ndom ndom lazma uvute
Big Ted baada ya madakika stage ameshanikaribisha
DJ naskia hana CD yangu jo ashanikasirisha
saa hiyo akili yangu Garissa mic battery imeisha
sa mafans wataniskiaje jo nikianza kuwakilisha
lakini maisha nishazoea jo huku ni Afrika
mpaka majuu CD yangu ina-skip ngoma inakatika
badala ya hawa mafala ku-appreciate mahali industry imefika
wana-concentrate hii industry yetu jo kuimaliza

Chorus
kabla hii industry nitoke jo mtanikumbuka
na nikikufa through ngoma zangu nitafufuka
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako

staki mnikumbuke kama aliyevuma
nataka mnikumbuke kama anayevuma
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako

Verse 2
Nation gazeti daily ni standard upate udaku
Taifa leo watu wanasoma gazeti hata kuliko vitabu
critics saa yote ndio hao wanaongeaongea mbaya
ati mziki ya Kenya haiwezi penya mpaka ulaya
FM radio station maanake huwaga
free music ndio maana album watu hawana
manzi yangu anasema mi huwanga nimesota kila wakati
hajui royalties zetu za mziki hatupati
siku moja tutalipwa gava jo ikiwatia pressure
na si maMC badala ya beef tushikane na Poxi Pressure
industry tu tukiwacha story ya pesa na tamaa, mzee
utaona vile tutapata pesa na tutatapaa, eeh
kwa hivyo chali yangu ukiongea na reporter jo chunga
sabu media itaandika kitu yoyote jo kuuza
badala ya hawa mafala ku-appreciate mahali industry imefika
wana-concentrate hii industry yetu jo kuimaliza

Chorus

kabla hii industry nitoke jo mtanikumbuka
na nikikufa through ngoma zangu nitafufuka
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako

staki mnikumbuke kama aliyevuma
nataka mnikumbuke kama anayevuma
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako

Verse 3

industry ni chakula na mi ndio naipika
watoi wangu washibe kila saa wakiniskiza
ndio wasilale njaa kila siku kwa mtaa
waamke kesho yake kuenda kuiba tu mtu saba
badala ya saa yote tu kutulia tu kwa ngazi
tuanze ku-rap bila gava tujipe makazi
lakini watu wengine huona ni ka tunapoteza wakati
wakivaa masuti zao kwani hao hulipwa pesa ngapi
kwa hivyo kijana ka mziki jo ndio iko kwa damu
ifanye bila kuskiza yoyote jo binadamu
hao utaona unawaacha kwa vumbi
kabla ushtuke una magari ka kumi
na ka waskia umenichukia maMC nenda ukajipuli
pesa itatengenezwa na wagenge nyi husema ni za kijinga
badala ya hawa mafala ku-appreciate mahali industry imefika
wana-concentrate hii industry yetu jo kuimaliza

Chorus
kabla hii industry nitoke jo mtanikumbuka
na nikikufa through ngoma zangu nitafufuka
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako

staki mnikumbuke kama aliyevuma
nataka mnikumbuke kama anayevuma
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako
hii ngoma ni yangu, hii ngoma ni yako



Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
Digg! Reddit! Del.icio.us! Google! Live! Facebook! StumbleUpon! MySpace! Twitter!
Comments
Add New
+/-
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.
 
KenyanLyrics.com


Follow KenyanLyrics on Twitter