Artist: Ringtone
Song: Yesu Ni Mwamba
Chorus
Yesu kwangu ni mwamba, mimi nimeamua,
Milele nitamfuata, mimi sitamuacha
Yesu kwangu ni mwamba, mimi nimeamua,
Milele nitamfuata, mimi sitamuacha
Verse 1
Ye ni Mwamba huwezi anguka, mvua ikinyeshahauwezi loa,
Ye ni mwamba huwezi pasuka, Sunami ikimuona ye inainama,
Nimejificha nyuma yake, ameniweka chini ya mbawa zake,
Kama kifaranga kwake bado nadeka, Kama kifaranga kwake bado nadeka,
Nikawamieje wewe ukiteseka, ukiwa kwake huwezi sononeka,
Ukiwa kwake huwezi sononeka kama kifaranga kwake bado nadeka,
Chorus
Yesu kwangu ni mwamba, mimi nimeamua,
Milele nitamfuata, mimi sitamuacha
Yesu kwangu ni mwamba, mimi nimeamua,
Milele nitamfuata, mimi sitamuacha
Verse 2
Nimejificha chini ya mwamba, mwamba ni Yesu mwamba imara,
Ananipenda siwezi mkataa, mimi na yeye tunapendana,
Nimejificha chini ya mwamba, mwamba ni Yesu mwamba imara,
Ananipenda siwezi mkataa, mimi na yeye tunapendana,
Nani ndiye mwamba,….ni Yesu,
Nani anaponya,……….ni Yesu,
Nani abariki,………..Ni Yesu ni Yesu ni Yesu,
Nani atupenda,……Ni Yesu,
Nani aokoa,……….Ni Yesu,
Nani mwenye nguvu,………Ni Yesu, ni Yesu, ni Yesu
Chorus
Yesu kwangu ni mwamba, mimi nimeamua,
Milele nitamfuata, mimi sitamuacha
Yesu kwangu ni mwamba, mimi nimeamua,
Milele nitamfuata, mimi sitamuacha
Verse 3
Just come the way you are, anakupenda sana ye walai,
Just come the way you are, atakufanyia poa mpaka ufurahi,
Just come the way you are, anakupenda sana ye walai,
Just come the way you are, atakufanyia poa mpaka ufurahi,
| < Prev |
|---|











