Song: Mistari Mangumi
Year: 2009
unavaa nguo uambiwe uko smart au kufunika uchi?
mi sijali ka umevaa za Gikosh au amedunga Gucci
gari si gari ju inaguruma, lazima iwe Range Sport au Ford
kuni-bring down is so expensive, wameshindwa ku-afford
kucheza na mi ni risky business, ka putting your money in a safe without a code
so kila verse nachora ipe heshima ka National Accord
ju nikizusha mi ni ka mbwa ya polisi,situlii ata uite Koffi Annan
hip hop is alive, inasikizwa kuliko gunshots Somalia, uliza K'naan.
| < Previous Page | Next Page > |
|---|














